eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Japokuwa kwa watu wa majira na nyakati wameshajua nani mshindi kwenye sanduku la kura, lakini pia mambo hubadilika kama mmoja wao akiamua kumuachia mwenzake.
Ila wakiendelea kugombea wote wawili na wakaingia kwenye kupigiwa kura, basi kuna mmoja ana neema zaidi ya mwingine kupitia mwaka huu wote wa 2025.
Hata mgombea urais wa nchi watampata kupitia hawa hawa wawili Mbowe na Tundu Lisu . kwa nini kwa sababu huu mwaka wote wana neema, japo mmoja wao ana neema zaidi kuliko mwingine. lakini muhimu ni uchaguzi huru na wenye haki.
Baada ya uchaguzi, muungane tena pamoja, kuhakikisha malengo ya chama hiki yanafikiwa ambayo ni kuongoza nchi na kuwaletea maendeleo watu.
Siku zote nchi ikikosa chama cha upinzani chenye nguvu kama CHADEMA, hiyo nchi ni mfu na haiwezi kuendelea.
Baada ya uchaguzi mje tena pamoja.
Ninawatakia uchaguzi mwema