Nimeshangazwa sana na hawa viongozi wakuu wa upinzani, badala ya kuwa bega kwa bega na wagombea wao wa urais, ubunge, na udiwani, eti nao wanatafuta Ubunge ili wakawe mawaziri wakuu au viongozi wa upinzani Bungeni.
Hongera sana Mnyika. Tunahitaji upinzani ambao una viongozi walio tayari kupoteza kitu kidogo ili wakomboe Watanzania.
Acheni tamaa ninyi viongozi.
Hongera sana Mnyika. Tunahitaji upinzani ambao una viongozi walio tayari kupoteza kitu kidogo ili wakomboe Watanzania.
Acheni tamaa ninyi viongozi.