Elections 2010 Mbowe Ndesamburo waingia Arusha

Status
Not open for further replies.
Ngoja tusubiri tuone ila najua timbwili la hapo si mchezo
 
kwakweli wanataka kuchakachua. tatizo hawataki kukubali ushindi. wanaona kuwa siku zote mambo ni kama mteremko. wakati watu wanaona na wanachoka. inauzi sana
 
Wakuu nimepata taarifa kunako chumba cha kutangaza matokeo Dr Batilda Buriani ameshinda ubunge wa Arusha mjini.Lema kama kawaida yake amefanya aliyofanya mwaka 2005 ???????????.

Aaangalie watu watamtoa roho
 
Kwa hiyo hikindicho Ndicho Ngngo anachokihubiri au?


Heshima kwako Nyambala,

Unaweza kuandika unachotaka kuandika sikuzuii lakini ukweli unabaki pale pale Lema si mpiganaji pengine sasa rafiki yangu PakaJimmy atakuja hapa jamvini kunitaka radhi kwasababu nilitoa tahadhari na mapema hawakunisikia.Nenda jukwaa la siasa angalia post ya PakaJimmy alafu njoo hapa andika ulichoandika.
 
Hapo ndipo shughuli ipo sasa ngoja tuone mchezo utaendaje
 

mzee na wewe mwenyewe hata hueleweki, mara useme hivi mara vile binafc nashindwa kukuelewa kabisa leo.
 
Tuombe mungu, arusha hali ni mbaya baada ya mama batilda kukataa kusaini. polisi wanafukuza watu kwenye eneo la kutangazia matokeo.

Fisadi mkuu (lowasa) naye yumo kwenye kwenye harakati za uchakachuaji unaoandaliwa hapa mjini.
 
Wakuu nimepata taarifa kunako chumba cha kutangaza matokeo Dr Batilda Buriani ameshinda ubunge wa Arusha mjini.Lema kama kawaida yake amefanya aliyofanya mwaka 2005 ???????????.

kaka acha uongo hakuna kitu cha kuuza ubunge kwa ccm kama unavyozungumza nipo eneo la tukio hapa na hakuna kitu kama hicho
 
kwa kweli lema akifanya kama nilivyosikia.. anastahili kifo.aiwezekani atufanye watoto wadogo bana..
 
Huyo batilda anakataa kusaini...anabishana na matokeo halisi ambayo yametangazwa? Alidhani angetawala milele?
 
Nasikia maduka ya wahindi uhuru road yamefungwa.
Ata Slaa alisema kuwa CCM ndo watakaoleta fujo
 
hata mimi nitakuja arusha kumpiga japo ngumi huyo lema!!!!!!!!!!
 

Ngongo kitu unachofanya ni Kuanmsaha Hasira za Wananchi dhidi ya Wananchi, Inaonekana Damu ya Lema ikimwagika Utafurahi sana Mkuu
 
Hapa Chadema wasipokua makini bao la kisigino laja, unazinguliwa kwenye ubunge ili wapate chance ya kuchakachua kura za uraisi
 
Duh!!!jamani wenzenu presha inapanda, presha inashuka!!

I hope wapiganaji Ndesamburo na Mbowe watafanya mambo!!!

Kwani matokeo ya Ndesa na Mbowe yameshatangazwa rasmi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…