Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi
Matokeo yake Wanachama pamoja na Wananchi watapoteza imani
Lakini pia CHADEMA itapuuzwa na CCM pale itakapokuwa ikiwanyooshea kidole kwa madai ya kuwa mambo mnayotunyooshea kidole ninyi mnayafanya pia
Lazima mtu atambue kuwa unapotaka kutoa boriti jicho la mwenzako hakikisha umetoa lako kwanza
Baba ukiwa malaya mwanao atasikilizaje ushauri wako pale atakapokuwa malaya? Sana sana atakuona huna lolote