johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbowe ni Mkristo na anesema Ukweli kabisa kwamba alimsaidia Tundu Lisu kiuchumi Kwa muda mrefu
Binafsi nafahamu Watu wenye Fedha wanavyoweza kuwatumia kiujanja Watu wenye akili.
Hii ipo hata vyuoni unakuta Mtu mwenye Pesa anafanyiwa hadi test Ili kuimarisha course work
Itashangaza sana baada ya Mbowe kutambia Utajiri wake tuone Tundu Lisu anashinda 😂
Ila bila Nguvu ya Uchumi mkubwa Mshindi anajulikana kabisa
JPM: Watanzania siyo Wajinga
Ahsanteni Sana 😂😂