Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Nadhani mbowe alijidanganya na kujiona kua yeye ndo mwenye sauti ya Mwisho Chadema na kujiona yeye ndo mpanga safu ya uongozi ndani ya Chama kuanzia ngazi ya chini mpaka Juu
Yani unataka UwaondoeLissu,Heche,Lema na Msigwa kwenye Nafasi za uongozi kwa wakati mmoja? Alafu ubaki na wakina nani huu mkakati ni wanani, nani mshauri wako aliyekusha hivi?
Walikukosea nini hao watu wote kwa wakati mmoja? wamekubembeleza ukae nao Vikao muyamalize kwa kiburi na dharau umewapuuza,
Ile pres ya Lema Imemaliza maswali yote yaliyokua yamebaki