Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Nasikia jana Mbowe sukari ilishuka sana kwa kauli hiyo ya Lemma kuwa kuna ndonga ameitunza ila ikibidi ataitumia kumaliza huu mchezo . Mbowe ni mtu hatari sana hiyo siri inayomfanya hadi sukari inashuka siyo ya kitoto.Lema amesema wakileta mdomo mdomo wa kumjibu hasa machawa wa Mbowe ataita press nyingine ya kumfyatua Mbowe. Yaani kula siraha ametumza za kummaliza Mbowe.
Uchaguzi umefanyika tayari au badoNadhani mbowe alijidanganya na kujiona kua yeye ndo mwenye sauti ya Mwisho Chadema na kujiona yeye ndo mpanga safu ya uongozi ndani ya Chama kuanzia ngazi ya chini mpaka Juu
Yani unataka UwaondoeLissu,Heche,Lema na Msigwa kwenye Nafasi za uongozi kwa wakati mmoja? Alafu ubaki na wakina nani huu mkakati ni wanani, nani mshauri wako aliyekusha hivi?
Walikukosea nini hao watu wote kwa wakati mmoja? wamekubembeleza ukae nao Vikao muyamalize kwa kiburi na dharau umewapuuza,
Ile pres ya Lema Imemaliza maswali yote yaliyokua yamebakiView attachment 3202566
Ndio wanaohitajika kwasasa dhidi ya siasa za kibabe za Samia Suluhu.Lissu na Heche vichwa ngumu
Wazalendo 100%Lissu na Heche vichwa ngumu
Na siasa za upinzani zinawataka watu vichwa ngumuLissu na Heche vichwa ngumu