johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hawezi kumusema Mama yake vibayaMbowe anajielewa sana
Mbowe amekomaa kisiasa usiwe mbishi!Huyo ni kada wa chama cha mapinduz. Asingekuwa kada wenu, asingekuwa kimya kwa yote ambayo wapinzani wanapitia akiwemo yeye mwenyewe.
Mama Tanzania!Hawezi kumusema Mama yake vibaya
Unamaana chadema ni fujo na endapo akipatikana mstaarabu anakuwa si chadema ameshapitia evolution process Kawa ccm.😂😂Huyo ni kada wa chama cha mapinduz. Asingekuwa kada wenu, asingekuwa kimya kwa yote ambayo wapinzani wanapitia akiwemo yeye mwenyewe.
Kwani demokrasia inasemaje kuhusu kuikosoa sirikale?Katika hili swala la ukomavu wa kisiasa kiukweli Mbowe namsifu, hutamsikia akiisema vibaya serikali kwa utaratibu wa hovyo hovyo.
Kuna wakati huwa najiuliza kama yule Boss wa ACT wazalendo angekuwa ndio KUB sijui hali ingekuwaje?
Maana huwa anaongea lolote, popote tena bila utaratibu.
Niwatakie maandalizi mema ya Dominika.
Maendeleo hayana vyama!
Labda ni baba yako wewe na ukoo wenu wa panyaI wish na wafuasi wake wajue CCM ni baba yao
Anatamani wapinzani woote wawe kama Lipumba na LyatongaUnamaana chadema ni fujo na endapo akipatikana mstaarabu anakuwa si chadema ameshapitia evolution process Kawa ccm.[emoji23][emoji23]
Mama Tanzania!
Pamoja na figisu zoote mnazo mfanyiaMbowe amekomaa kisiasa usiwe mbishi!
Mbowe anajielewa sana
Sema F.A.M akili imekomaa anajua nini aseme nini afanye hana mihemko.Hawezi kumusema Mama yake vibaya
Kwani lipumba na lyatonga ni ccm?Anatamani wapinzani woote wawe kama Lipumba na Lyatonga
Umesema kweli mkuu,sijui wanakwama wapi maana ngao ya wapinzani kwa sasa ni fujo na kulia lia wapewe kura za huruma na sisi wapiga kura tunataka hoja na sio vihoja.Wanasiasa wengi Kwasasa,upinzani au tawala,wengi hawajui kujenga hoja na inaishia kuongea uozo tu,ulijaa unamsikiliza mtu anayejiita mwanasiasa,sijui mwanaharakati mambo anayoingea mpaka unahisi kinyaaa
Mbowe anajielewa sana
Katika hili swala la ukomavu wa kisiasa kiukweli Mbowe namsifu, hutamsikia akiisema vibaya serikali kwa utaratibu wa hovyo hovyo.
Kuna wakati huwa najiuliza kama yule Boss wa ACT wazalendo angekuwa ndio KUB sijui hali ingekuwaje?
Maana huwa anaongea lolote, popote tena bila utaratibu.
Niwatakie maandalizi mema ya Dominika.
Maendeleo hayana vyama!