#COVID19 Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

Kwa taarifa tu mleta mada ni hivi juzi tu katoka kwenye tiba ya Methadoni huko Tanga.
 
Kanuni ya kiroho inafanya kazi: Tanzania tulishaponywa corona na Mungu baada ya kumtanguliza Mungu na kumwomba na akàtuponya. Lakini wapo wanaoukataa ukweli huu akaiwemo Mbowe. Kwa kukataa kwao wameifungulia mlango corona kwenye maisha yao na kwenye familia zao!! Hizo chanjo na barakoa anazozitumainia hàzitamwokoà! Kuna roho chafu ya mauti nyuma ya corona ambayo huwezi kuizuià kwa chanjo wala barakoa wala social distancing wala lockdown! Wanaobeza uponyaji wa Mungu kwa Tanzania kuhusu corona jiandàeni!! Ni toba tu itakayowaponya!! Waanaoamini na kikiri hadharani kuwa Mungu ametuponya na corona mtabaki salamà!!
 
Asante sana kwa matusi yako lakini yatakurudia mwenyewe na hutapumua
 
Kwa kauli alizozitoa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza jana kwenye kipindi cha Star V big agenda bila shaka ni kweli kabisa ndani ya ccm kulikuwa na mafisadi yq kutisha na Magufuli aliyabananga vizuri na sasa yameanza kupata nafuu mbele ya rais Samia.

Ikumbukwe baada tu ya kuingia madarakani Magufuli alianzisha kampeni ya kurudisha mali za chama na kukifanya chama cha mapinduzi kujitegemea katika kila kitu. Ccm ilitoka kukusanya millioni 5 kwa mwaka hadi kufikia billion 20!!
Mali za ccm zilikuwa zimekaliwa na kutafunwa na vigogo akiwemo huyo Diallo.
 
Na familia zingine ziufuate mfano huu wa Mbowe.Hakuna sababu ya kuficha ugonjwa uliomuondoa mwanafamilia.
 
Kijogoo D najua nguvu unazo were pigakazi,archana na mambo ya hisani yanapoteza uwezo wa akili na uhuru wa mawazo na haki zamsingi.
Hisani ndiyo inampa maisha Lisu kwa amsterdam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…