Mheshimiwa MBOWE ni mkomavu na mwanasiasa aliyeweka maslahi ya Taifa mbele. Sisi wafia CHADEMS hatupaswi kutekwa na propaganda za mtu aliyeweka maslahi yake mbele badala ya nchi yake ya Asili. Mheshimiwa MBOWE pamoja na misukosuko ya kisiasa iliyomfika, bado alivaki nchini pomoja na familia yake. Sisi CHADEMS yatupasa tumjali MBOWE na kumpa kura lukuki dhidi ya wale vibaraka waliowekwa na maaduwi wetu. Hongera MBOWE, Kura zetu ni zako