Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

Mbowe(a.k.a Immortal) Ametaja kabisa hadi aina ya chanjo kuwa ni Astrazeneca kuwa ndio aliyochanjwa.
 
mbowe anafanya biashara kimataifa angefanyeje unafikiri anafanya biashara ya machame - kariakoo
Hakuna biashara ya kimataifa hapo! Labda kuhamisha pesa za Ruzuku. Ile ya wizi wa magari ya Afrika kusini ilikufa baada ya Interpol kuwa makini na uasjili wa magari. Dubai aanzishe duka la vifungashio.
 
Mkuu wewe hutaki kuishi milele? chanjo ya corona inakufanya uishi bila kufa.
🤣🤣🤣 mimi acha nife tu Mkuu maana najua hata nikiishi sana miaka mia sifikishi.

sema tu hakutuambia kama amepata na kile kipimo kipya cha covid19 🤸‍♂️
 
Mbowe(a.k.a Immortal) Ametaja kabisa hadi aina ya chanjo kuwa ni Astrazeneca kuwa ndio aliyochanjwa.
sema tu hakutuambia kua alipata pia na kile kipimo kipya cha covid19 ambacho wanachukua sampuli kule nyuma 🤣🤣🤣
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…