Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Anadunda mtaani tu kwa sasa.

Hii kesi ilikuwa na taswira mbaya kidiplomasia na ushahidi wa kidijitali upo [CCTV] ila mpo nae mtaani na anadunda na soon anapewa ofisi tena.

Au huyu jambazi kuachiwa ni matunda ya maridhiano kwa mujibu wa Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…