Chadema hata akija Magufuli kugombea uenyekiti hapati hadi tumpime jee anatosha?Hakuna kama Chadema, niwashangaa sama kama Chadema wangempa mtu kama Sumaye, Hana tofauti na Lowasa.
Mkuu Driter, kiukweli nimekupenda haswa katika kuambiana kitu kinachwoitwa the bitter reality, it's very bitter to swallow but is is the reality you will have to swallow regardless unapenda au hupendi, unakubaliana na hali hiyo au hukubaliani, kama hicho ndicho kilichopangwa kitokee, ndicho kitakachotokea hiyo 2020.Certainly. You know damn well that “Smart opposition players” have already started shifting to the winning side.
Kwahiyo wapigaji kelele na shinikizo lá ccm ni upinzani? Angalia mada zote zinazoanzishwa humu ili mbowe atoke ni nani?Wanaotaka Mbowe atoke Ni Wafadhili wa Chadema wa ndani na nje.Mbowe akirudi madarakani chadema itakuwa moja ya vyama maskini kuliko Chama chochote.
Matajiri na Wenye fedha wa ndani na nje wanaiaga rasmi chadema.Wana chadema mchague mawili Mbowe abaki au Wafadhili wenu waondoke
"Nitahikikisha kabla ya 2020 upinzani umekufa' jiwe.NB,wanachadema ndiyo watakaoiua chadema,ccm itaimalizia tu
Kwakuchaguliwa ni wananchi au kwamatakwa yenu ya kisiasa?Mkuu Ruhi, kama unaamisha upinzani wa ndani ya mioyo ya watu, then its true, upinzani hauishi, ila upinzani ninaouzungumza mimi ni upinzani rasmi wa kisiasa, tayari serikali za mitaa ni CCM, mwakani madiwani wote ni CCM, wabunge wote ni CCM, then Chadema will be reduced to nothing.
P
Eeenh, umejipinda kweli kweli, na ukadhani umetoa bonge la hoja.Jukumu LA kwanza la kiongozi was chama cha siasa ni kufikisha chama toka A mpaka B kwenye nchi ya asali na maziwa haraka iwezekanavyo ili sababu za kuanzishwa kwake zitimie. Hapa kwetu kila miaka 5 vyama vyote vya siasa vinapata fursa ya kuingia kwenye nchi ya ahadi na ni jukumu la kiongozi kuwafikisha wanachama wote huko. Akishindwa wenzake wanaweza wakampa nafasi nyingine kama alikaribia lakini kama alikuwa mbali sana kiongozi mstaarabu huachia ngazi mwanachama mwingine ajaribu maana lengo lao ni moja. Baada ya kupewa nafasi nyingine na akafanya vibaya zaidi kuliko fursa iliyopita, atolewe kwa kurihusu wanachama wengine wachukue nafasi yake ya uongozi kwa njia ya kidemokrasia. Kuna njia na namna nyingi za kufika B.
Yeah, nakumbuka siku ya Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi 2015 Rais Mstaafu Mkapa alisema, "...wanaosema nchi hii hakuna kitu chochote cha maendeleo kimefanyika tangu uhuru ni WAJINGA na WAPUMBAVU..."! Kauli hii ilinifariji sana.Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere alipoona nguvu ya Mrema ilivokuwa na ombwe lililokuwepo ktk uongozi wa nchi!Aliamua kusimama kidete kunusuru nchi.(sio CCM) na kumpigis Kampeni ya nguvu BWM na hatmaye akawa Rais.
Mwalimu alitumia msemo wa Kingereza tafsiri siwezi kukaa Butiama na kuiacha nchi MIKONONI mwa mbwa(going to dogs)Kila mtu alitafsiri kivyake,wengine walisema alitukana!
Leo hii tunasikia kelele nyingi,kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa amekaa Sana ,awaachie na wengine!
Aidha anavunja katiba.
Kinadharia inaweza kuwa kweli!
Lakini katika mazingira ya Siasa za kihunii zilizoendeshwa kwa Miaka 4 sasa Ni ngumu sana Kuwaamini Hawa wema walijiotokeza kuitakia mema CHADEMA kwa kimtaka Mbowe apumzike!
Haya NI machozi ya mamba! Mbowe Shikilia hapohapo huwezi kuwaachia Chama Mbwa!
Chama kina wanachama wenye pesa, hata wakijitoa hao unaowafikilia haitakuwa na madhara kitajiendesha kwa michango yetu sisi wanachama.Wanaotaka Mbowe atoke Ni Wafadhili wa Chadema wa ndani na nje.Mbowe akirudi madarakani chadema itakuwa moja ya vyama maskini kuliko Chama chochote.
Matajiri na Wenye fedha wa ndani na nje wanaiaga rasmi chadema.Wana chadema mchague mawili Mbowe abaki au Wafadhili wenu waondoke
Sio smart ni opportunist na selfish ni watu bao wako tayari kuuza nchi Kwa sababu ya ubinafsi waoMkuu Driter, kiukweli nimekupenda haswa katika kuambiana kitu kinachwoitwa the bitter reality, it's very bitter to swallow but is is the reality you will have to swallow regardless unapenda au hupendi, unakubaliana na hali hiyo au hukubaliani, kama hicho ndicho kilichopangwa kitokee, ndicho kitakachotokea hiyo 2020.
Hao smart opposition players unaowazungumzia na mimi ndio nimewazungumzia katika bandiko hili
PWanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
I'm afraid to say, the time to save Chadema is too little too short!, baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa 2020, Chadema will be reduced to almost nothing!.
P
Mkuu Ruhi, kama unaamisha upinzani wa ndani ya mioyo ya watu, then its true, upinzani hauishi, ila upinzani ninaouzungumza mimi ni upinzani rasmi wa kisiasa, tayari serikali za mitaa ni CCM, mwakani madiwani wote ni CCM, wabunge wote ni CCM, then Chadema will be reduced to nothing.
P
Ndoto za alnacha hizo,labda Kama CCM ingekuwa ile ya Nyerere ,kidogo ya Mkapa ambapo kulikuwa na bongo ...lakini kwa Sasa ,Hawa watu wanaofikiria kutumia MOYO,...NEVER!I'm afraid to say, the time to save Chadema is too little too short!, baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa 2020, Chadema will be reduced to almost nothing!.
P
Matokeo ya ukandakizaji huu utaiua CCM....Mungu akupe maisha marefu ushuhudie unabii huu!Mkuu Ruhi, kama unaamisha upinzani wa ndani ya mioyo ya watu, then its true, upinzani hauishi, ila upinzani ninaouzungumza mimi ni upinzani rasmi wa kisiasa, tayari serikali za mitaa ni CCM, mwakani madiwani wote ni CCM, wabunge wote ni CCM, then Chadema will be reduced to nothing.
P