Mbowe: Sitaki kwenda kwenye Vita itakayokipasua Chama nakwenda kwenye Vita itakayokijenga Chama!

Mbowe: Sitaki kwenda kwenye Vita itakayokipasua Chama nakwenda kwenye Vita itakayokijenga Chama!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kumbe ndugu zetu wa Chadema uchaguzi kwao ni Vita

Nimeogopa sana 🐼
===============
Lakini nataka wote mtambue sihitaji kwenda kwenye vita yoyote ambayo itakipasua chama hiki ila nahitaji kwenda kwenye vita ambayo itakijenga chama hiki.

"Ndio sababu nikasema hatua ya kwanza natangaza msamaha ili mtu asifikiri Mbowe naenda kufikiri nikiwa !nina haisira mimi sina hasira, wala sijiandai kumpa mtu yoyote vijembe japo nitajibu baadhi ya hoja."

Soma Pia: Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi


"Lakini nitaangalia kama Mwenyekiti Mwandamizi wa chama hiki nitaangalia mwenendo wa kampeni kati ya leo mpaka Jumamosi. Nikiona chama changu kinaendelea kwenda kuzamishwa kamanda naingia mzigoni."

Credit: Jambo TV
 
Yuko saa hii mdogo wangu FAM nimesoma nae primary alikuwa monta wetu alituongoza vyema hivyo anazo busara.
 
hebu semeni ameamuaje kugombea ama kukaa pembeni..?
 
Back
Top Bottom