Mbowe tafakari kwanini CCM wanakutaka wewe? Wakati wewe ni mpinzani wao? Ujue kanuni ya maisha adui anapokushauri jambo jua anashauri anguko lako

Mbowe tafakari kwanini CCM wanakutaka wewe? Wakati wewe ni mpinzani wao? Ujue kanuni ya maisha adui anapokushauri jambo jua anashauri anguko lako

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
CHADEMA shikilieni hapo hapo nendeni na Lissu kitendo cha ccm kuonyesha upande hiyo ni alarm tosha kwenu kwamba upande wa adui yenu ndio upande mbaya kwenu nawashauri muende na Lissu.

CCM wameajiri machawa kibao mitandaoni kumpigia debe MBOWE! Je kwanini? Je Wana maslahi Gani na MBOWE dhidi ya chadema?

CHADEMA stukeni MBOWE hafai nendeni na TUNDU LISSU.
 
Pamoja kuwa na mtizamo tofauti na ulichoandika, lakini kwa asilimia mia nakubaliana na naiamini hiyo kanuni uliyoinukuu.

HAIWEZEKANI Leo CCM wakawa ndiyo mashabiki wa Mbowe kwenye uchaguzi huu.

Inawezekana wanatumia kanuni nyingine ile ya "wagawanye ili uwatawale" au wanaanda sherehe anguko la Mbowe likitokea.

Lakini pia nina hakika Lissu akichaguliwa, CCM watutumia mifumo ya kidola kuwaonesha CHADEMA walikosea kumchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wao.

Muda utaongea si kitambo kirefu kutoka Sasa.
 
Back
Top Bottom