brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 549
- 674
Kuna kale kamsemo kanakosema tenda wema uende zako usingojee shukrani.
Mheshimiwa mbowe ameeleza kwa masikitiko namna lisu anavyomnanga ili hali aliwahi kumsaidia vitu vingi sana.
Nakushauri mbowe achana na lisu.
Usijibizane nae kama umeamua kupambana nae uchaguzi we jipange kimyaaaaa ukiweza kumshinda badi ndo KARMA kwa Lisu.
Hivi unavyoendelea kujitetea yule bwana ndo anazidi kubwatuka, kumbuka lisu hakuwahi kupiga mswaki hivyo maneno yake yanamtoka huku yamejaa harufu mbaya.
Akishinda muachie chama aongoze tuone mwisho wake wewe jiweke pembeni
TENDA WEMA NENDA ZAKO SHUKRANI MUACHIE MUNGU