brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 549
- 674
Naunga mkono hojaKuna kale kamsemo kanakosema tenda wema uende zako usingojee shukrani.
Mheshimiwa mbowe ameeleza kwa masikitiko namna lisu anavyomnanga ili hali aliwahi kumsaidia vitu vingi sana.
Nakushauri mbowe achana na lisu.
Usijibizane nae kama umeamua kupambana nae uchaguzi we jipange kimyaaaaa ukiweza kumshinda badi ndo KARMA kwa Lisu.
Hivi unavyoendelea kujitetea yule bwana ndo anazidi kubwatuka, kumbuka lisu hakuwahi kupiga mswaki hivyo maneno yake yanamtoka huku yamejaa harufu mbaya.
Akishinda muachie chama aongoze tuone mwisho wake wewe jiweke pembeni
TENDA WEMA NENDA ZAKO SHUKRANI MUACHIE MUNGU
Wastaarabu, ukimfadhili mtu, that is charty, haupaswi kusema!. Kwa taarifa tuu, wako wana CCM wengi tuu wameifadhili Chadema, lakini hawasemi. Tenda wema uende zako, watu wengine hawana shukrani!. Abdul mwenyewe sasa anajuta!. Hili somo la kuwa na shukrani Chadema tumewafundisha sana!. CHADEMA kuweni na shukrani, punguzeni kulalamika, shukuruni kwa yote. Ile kesi mbaya! Shukuruni mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na Watanzania au wafadhil wa Chadema nao watoke waseme?.Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
Umeongea vema kabisa. Mbowe usiende kwenye upuuzi wa mdahalo. Usijibizane naye!Kuna kale kamsemo kanakosema tenda wema uende zako usingojee shukrani.
Mheshimiwa mbowe ameeleza kwa masikitiko namna lisu anavyomnanga ili hali aliwahi kumsaidia vitu vingi sana.
Nakushauri mbowe achana na lisu.
Usijibizane nae kama umeamua kupambana nae uchaguzi we jipange kimyaaaaa ukiweza kumshinda badi ndo KARMA kwa Lisu.
Hivi unavyoendelea kujitetea yule bwana ndo anazidi kubwatuka, kumbuka lisu hakuwahi kupiga mswaki hivyo maneno yake yanamtoka huku yamejaa harufu mbaya.
Akishinda muachie chama aongoze tuone mwisho wake wewe jiweke pembeni
TENDA WEMA NENDA ZAKO SHUKRANI MUACHIE MUNGU
kwani hawa ni wapya kwenye chama? watafanya nini? hakuna kumwachia chama!Ifike wakati aruhusu mawazo mapya yatawale Chama.
Uongozi ni maono so kama kweli kuna democrasia basi tulibali dam mpya,hiyo hakunakumwachia Chama .kwani hawa ni wapya kwenye chama? watafanya nini? hakuna kumwachia chama!