Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ambao umewakutanisha wadau mbalimbali amesema Katika kipindi kifupi ambacho tulishaanza kuona matunda ya demokrasia katika nchi yetu, kwamba kiwango kikubwa uhuru wa kufanya siasa ikiwamo kufanya mikutano ya hadhara, maandamano yalifanyika nchi nzima kwa amani kubwa sana.
Kwa ushirikiano mkubwa kati ya vyama vya siasa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kazi za siasa zikafanyika bila kuwa na tabu yoyote, tukaanza kuamini tunajenga utaratibu ulio bora, unaoliopeleka taifa letu katika chaguzi ambazo zitatupatia viongozi watokanao na mapenzi ya wananchi. Pamoja na hofu nyingi kutokana na kanuni na taratibu zetu zote za uchaguzi, angalau kwa nje palionekana pana utulivu na kazi za siasa zilifanyika"
"Lakini ghafla ule uimara tuliokuwa tunaupata katika taifa haujawa endelevu, tukaanza kuona kukamatwa kwa viongozi wetu (CHADEMA) na kupigwa na vyombo vya dola, na mpaka leo wahusika wapo na ikaonekana ni jambo la kawaida na ni haki ya makundi fulani kukabiliana na adhabu kama hizo.
Soma Pia: