PreGE2025 Mbowe tulikuona unabusara na akili, lakini wewe ndiyo sababu ya yote yanayowakuta CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Son of Israel from Africa

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
2,006
Reaction score
2,963
Wala salamu sitoi

​

Honestly ukiniuliza sasa hivi kuhusu yanayowapata CHADEMA
Sitoacha kumuhusisha huyu Jamaa mbinafsi, mwenye roho mbaya, Freeman Aikael Mbowe.

Wewe una roho mbaya sanaa, mbinfsi sana, na una chuki sanaa wewe.

Nakuhakikishia hili litaisha vzri tuu na CHADEMA itaibuka mshindi.

Ulidhani Lissu na Heche angefanya siasa za kijingajingaa. Hapa subiri wamuachie Lissu uone kama hujakimbia nchi

Ni hayo, nimejawa na Hasira.

And ukitaka kujua vyema hii ni plan msikilize Wasira leo huko Tunduru.
 

Ngongo, Lusungo, Nanye Go, Fortilo mkuje mara moja!
 
Mboye ameshazaliwa kweli? sisi tunamjua Mbowe
 
Siasa si mchezo.
Bado kuna karata mbili hazijafunuliwa mbona watu mtaanza kuongea barabarani wenyewe.
Nyie subirini bado karata mbili zitakatisha watu tamaa kabisa..
 
Siasa si mchezo.
Bado kuna karata mbili hazijafunuliwa mbona watu mtaanza kuongea barabarani wenyewe.
Nyie subirini bado karata mbili zitakatisha watu tamaa kabisa..
Inawezekana au isiwezekane pia yote ni majibu

Lkn ninachojua CDM itapita haya mabondee .
 
Siasa si mchezo.
Bado kuna karata mbili hazijafunuliwa mbona watu mtaanza kuongea barabarani wenyewe.
Nyie subirini bado karata mbili zitakatisha watu tamaa kabisa..
Watiu watahamia kwenye harakati , siyo lazimad chama cha siasa Kuna media kunxa you tuebe pia so hamna haja ya kuqkomoana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…