Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Tunaipa Serikali mpaka siku ya jumamosi ya tarehe 21 ya mwezi huu wa tisa watueleze watoto wetu, wanachama wetu na viongozi wetu niliwataja hapa wako wapi? na watuambie wawalejeshe wakiwa salama kama awawaleshi wakiwa salama waturejeshe wakiwa mauti kama awawezi kuturejeshe kwenye umauti watuambie wamekwenda kuwatupa wapi? au kuwapotezea wapia?
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho