Itakuwa yule wa Canada ,si unajua hawa BAVICHA kwa kuokoteza habariHuyo balozi aliyetenguliwa ni nani?!
6. KomuWataje tuwajue vinginevyo tutasema unabashiri. Lakini hawa uwe makini nao
1. Bulaya
2. Mwita (meya)
3. E Matiko
4. 30
5. Mwana halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa.......!Itakuwa yule wa Canada ,si unajua hawa BAVICHA kwa kuokoteza habari
MSIGWA YUPO KWA LIST?Kwa vile JF ni ya kwanza siku zote na kwa vile mimi ni miongoni mwa watu wachache waliopata list ya majina ya watu hao basi bila shaka NITAYAWEKA HADHARANI baada ya kumalizia mchemsho wangu wa Samaki
Wewe endelea kusifia IQ feki, wakati chama kinamfia mikononi mwake. People with high political IQ would know how to manage a small chama like chadema. Alifeli form iv, lakini bado unamsifia IQ! Ama kweli wahenga walisema, wajinga ndio waliwao.Mbowe has never been a dummy!
He is Michael Jordan of this shyt!
People actually do not understand this,Mbowe has been playing political game like nobody else,his IQ is way above everybody else in politics!
Watu nadhani wanajisahaulisha tu how prolific this motherfvcker is....aint nobody like him,mpende au mchukie,you cant deny his prowess!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe endelea kusifia IQ feki, wakati chama kinamfia mikononi mwake. People with high political IQ would know how to manage a small chama like chadema. Alifeli form iv, lakini bado unamsifia IQ! Ama kweli wahenga walisema, wajinga ndio waliwao.
Mkuu unajua historia ya upinzani nchini?
1995 NCCR was the shit,haiku-last muda wowote
2000 CUF and TLP were the shit,haziku-last muda wowote
2005-Today CDM shits on everybody
Viongozi wa upinzani,kwanza alianza Mrema Lyatonga na NCCR baada ya kuhama CCM....haku-last muda mrefu
Walikuwepo akina Mabere Marando NCCR,hawaku-last muda wowote
Walikuwepo akina Ahmad Rashid,Lipumba na Maalim CUF,wamevurugwa sasa hivi hajasalia yeyote
Alikuepo Mtikila na DP yake,akafariki
Cheyo na chama chake ni kama CcM wale,hakuna lolote
Bro,tangu mwaka 1992 Chadema wamekurupua step by step mpaka wamekuja ku-eclipse everybody else na hawajavurugwa na CCM
Na kumbuka hakuna mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania aliekaa na chama kwa muda mrefu bila CCM kufanikiwa kukivuruga chama kama Mbowe!
Mbowe is way too intelligent for CCM stupid games!
Is way ahead of them,he is playing chess,they are playing checkers!
Acha unaaa!
Anayefuata ni Esther Bulaya. Ingawa anapozwapozwa na Unadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani, lakini ndiye next on the line!MSIGWA YUPO KWA LIST?