Mbowe ukishinda tafadhali mteue Halima Mdee kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA

Mbowe ukishinda tafadhali mteue Halima Mdee kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Katika kukiunganisha chama na kuondoa tofauti zetu, tafadhali sana Mh. Freeman Mbowe, mara baada ya kushinda kwa kishindo katika nafasi ya uenyekiti, mteue ndugu Halima Mdee kuwa katibu mkuu wa chama.

Mbali na kukiunganisha chama, utakuwa umezingatia genda. Pia itaonesha kuwa wewe ni mlezi mwenye busara.

Tunasubiri kwa hamu tamko la wabunge wetu siku ya jumatatu ili safari ya kampeni ianze kwa kishindo
 
Halima Mdee sio mwanachama wa CHADEMA. Halafu Mbowe mwenyewe kasema Leo wale sio wanachama wa CHADEMA. Ila wewe unaleta maneno yako mwenyewe.
 
Back
Top Bottom