unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Hakuna mahali wala nchi ambapo chanjo ya corona ni lazima. Watu tunajiamulia. Kwangu mimi nimeifanya lazima. Ila mke Wangu na wanangu wao wanaona heri kupima Mara nyingi kwa kuwa hawana uhakika na hizi chanjo na matokeo yake. It’s a free decision.
Mwenyekiti wa CDM kafiwa majuzi na ndugu yake. Pole sana. Pole pia kwa matumizi makubwa mliyoingia kwa kumuuguza ndugu yenu. 30,000 daily kwa O2 tu. Mungu ampe Amani ya milele.
Sasa Bosi umesafiri ghafla kwenda Mwanza. Unasema unataka makongamano. Hayo makongamano unafanya online au. Watz wakisikia Kuna pilau ya mtu maarufu au hata ya mtu wa kawaida, wanahangaika sana kupeana connection. Kama mkuu umemaanisha online Basi heri yako. Mana Hapo utawajua watz wanaotaka Dira zenu na utaepusha janga la corona linalokunyima usingizi. Unawapenda sana Watanzania.
Achana na hao CCM wanaohitisha mikutano ya hadharani. Wewe ndo jembe. Mpinzani wa kweli. Tulikumiss wakati wa Mwanamume anajenga nchi. Tulibaki na wapiga domo humu wamejificha nyuma ya keyboard na kusingizia kila ujinga. Oh Mara Ben saa tisa. Mara Nani Sijui as if Rais hana kazi zaidi ya kufuatilia wajinga.
Kofia na fulana nyekundu zinapendeza sana kama Savimbi vile. Sasa mkuu embu tuambie. Corona au makongamano. Tununue wapi fulana na kofia za rangi ya damu.
Mzee wa digital tupe connection online. Tena ongea muda wa jioni watu wakishamaliza shughuli zao wanapumzika. Na kama salio limebaki kutoka kwenye fungu la fulana za damu nyekundu Basi tutumie bundle Nasi Tuwe na bundle of contradictions.