Mzee mnafiki sana ,ndie alie sema anachukizwa na wanao sema Mbowe sio Gaidi, na maesahau aliwahi sema kupigwa risasi kwa Lisu ni tukio la kawaida sana lileDr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa muungwana mno kwao sasa wanakuona mjinga. Waache wapambane na hali zao!
Mnafiq mkubwa aachwe huko!Mzee mnafiki sana ,ndie alie sema anachukizwa na wanao sema Mbowe sio Gaidi, na maesahau aliwahi sema kupigwa risasi kwa Lisu ni tukio la kawaida sana lile
Haahaa uchawa kazi kwelikweliDr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa muungwana mno kwao sasa wanakuona mjinga. Waache wapambane na hali zao!
Dr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa muungwana mno kwao sasa wanakuona mjinga. Waache wapambane na hali zao!