Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Katika vitu vilivyonishangaza, ni Mbowe kukosa msimamo wa kueleweka. Leo akiomba kura mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu amezungumzia habari za kuingia katika uchaguzi ujao wa 2025.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Lakini siku nyingine anazungumza habari za kutokuingia katika uchaguzi mpaka reforms za msingi zifanywe. Sasa hii ndimi mbili ndiyo inayowavuruga watu, watu wanakosa uelekeo.