Kwa akili za mtu asiyefikiria vizuri,kuna usawa katika hawa wanasiasa wawili.Ila ukifikiria kwa undani utaona vizuri.Tujadili mambo ya msingi sana.
Kwa akili za mtu asiyefikiria vizuri,kuna usawa katika hawa wanasiasa wawili.Ila ukifikiria kwa undani utaona vizuri.Tujadili mambo ya msingi sana.
Of course, one is dead, one is alive. That is the only difference I see. And, yes, tujadili mambo ya msingi sasa.
Mie naona mada hii ifungwe kutokana na mmoja wao kufariki.
not justifiable"Mbowe ni mla rushwana anashirikiana na wana-CCM kwa ajili ya maslahi yake. Mfano: Mgombea wetu wa Ubunge kule Singida Mjini alitoa malalamiko kwamba Mbowe hakumsimamisha na kumtambulisha kwenye mkutano wa kampeni Singida Mjini kama inavyotegemewa"
Hata serikali zinadaiwa hii haina uzito sana."Mbowe ana madeni mengi"
haina uzito sawa na jinsi wananchi wanavyoteseka kwa ufisadi wa viongozi wa CCM. Na hata hivyo ni kiongozi gani wa CCM asiye na historia ya ufuska??"Mwenyekiti ana historia chafu ya ufuska na uasherati"
Tunachotaka ni maboresho ya kiushahidi ktk shutuma hizoLabda mama Lwakatare mbunge mtarajiwa hatuna evidence zake za hili eneo!!
Tafuta yanayolingana na kuanzisha kampuni hewa za kuiba mabilioni ya walala hoi hadi tunakosa hata chanjo za watoto wasi na hatia yoyote. Ukiyapata yaweke tuyajadili hapa JF kam ulivyoleta hili
(Hili lina ushahidi gani maana hata mwandishi angesema sh. milioni 10, 20, 30 nani atabisha au kukubali. Mimi binafsi siamini kama Mbowe ni that cheap na hata hivyo kampeni za huyo mgombea mbona mwandishi hasemi chadema au mbowe mwenyewe alitoa kiasi gani kwa hiyo kutokumsimamisha mtu kwamba ni rushwa ni tuhuma za kitoto maana hata Geita Kikwete alishindwa kumsimamisha mgombea Mabina kwani alikuwa akizomewa kila mahali, Mabina alishinda lakini).1. Mbowe ni mla rushwa na anashirikiana na wana-CCM kwa ajili ya maslahi yake. Mfano: Mgombea wetu wa Ubunge kule Singida Mjini alitoa malalamiko kwamba Mbowe hakumsimamisha na kumtambulisha kwenye mkutano wa kampeni Singida Mjini kama inavyotegemewa. Ukweli ni kwamba aliomba hongo kwa Mohammed Dewji, Mgombea wa CCM, na kupewa shilingi milioni 6 ili asifanye hivyo
(Mwandishi anatakiwa afahamu kuwa na madeni si kosa maana hata Tanzania yenyewe inadaiwa kinoma, hata mwandishi mwenyewe very likely anadaiwa pia. Hili la kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu mbona haliko substantiated, ni fedha ngapi, kwenye dili ipi na wakati gani? - Rekodi kuwa mahakama kuu au arrest warrant haimaanishi kwamba wewe ni mhalifu- mwandishi nina wasi wasi sana na uelewa wako na hii ni dalili tosha kwamba mwandishi ni kada wa CCM).Kwa wanaobisha wakatazame kanda ya video ya mkutano wetu pale Singida waone kama mgombea wetu alitambulishwa. La sivyo, Mbowe atoe maelezo kwenye Kamati Kuu.
2. Mbowe ana madeni mengi na hadi sasa anayo "arrest warrant" ya Mahakama Kuu kwa kushindwa kuwalipa wadeni wake na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu . Oda ya kukamatwa kwa Mbowe imetolewa tarehe 5 Desemba 2006 na Jaji Manento, kwa hukumu iliyosomwa na Jaji Rwakibarila tarehe 27 Oktoba 2006. Arrest Warrant ameandikiwa OCD wa Central na imesainiwa na Bwana Lyimo, Msajili wa Mahakama
(Hivi mwandishi amesahau kwamba Bilicanas ni klabu halali kisheria na vile vile kwamba viongozi na wachangiaji wakuu wa cham sisiem ndio wamiliki wa klabu, baa zinazokesha na uchangudoa nchi nzima mfano mzuri ni Villa Mwanza, AIRPORT NIGHTPARK dAR, HATA cORNER BAR dAR - wELL SILINGANISHI ILA NAJARIBU KUPAMBANUA KWAMBA HIYO HOJA NI BUTU)Hizi rekodi zote zipo Mahakama Kuu. Bahati yetu tuna Serikali ya hovyo ndio maana Mwenyekiti hajakamatwa mpaka leo kwasababu CCM wanaogopa wakimkamata itaonekana ni siasa lakini siku yoyote Mwenyekiti atakamatwa kwa uchafu wa biashara zake binafsi. Salama yetu ni kuachana naye ili tusije umbuka siku za usoni.
3. Mbowe anahusishwa na biashara za hovyo. Kwenye uchaguzi wa 2005 watu wa CCM waliweza kutumaliza kwa hoja kwamba tutakuwaje na Rais mwenye kilabu cha pombe na muziki ambacho ni makao makuu ya machangudoa na wauza unga. Mwenyekiti aamue kikutumikia Chama au kufanya biashara ya Billcanaz.
( Pamoja na kwamba kimaadili siwezi kulitetea hili lakini nadhani hao mabosi wa mwandishi CCM ni mahiri sana kwenye haka kamchezo) .4. Mwenyekiti ana historia chafu ya ufuska na uasherati
(Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini hili Baba kuona kwa macho mwanawe akizini) .Hili ni tatizo kwa maadili lakini ni tatizo zaidi kwa Mwenyekiti Mbowe kwasababu analeta hizi tabia kwenye kazi na kuleta mifarakano.Nitatoa mifano kadhaa:
amevunja ndoa ya Mbunge Grace Kiwelu ambaye alikuwa ameolewa na mtoto wa Mzee Ndesamburo anayeitwa Sindato. Mwenyekiti alikuwa na ujasiri wa kulala na Grace kwenye ziara za Kichama wakati Mzee Ndesamburo anaona kwa macho yake
(Mwandishi pale juu ametueleza majina ya majaji, tarehe za kesi lakini hapa anageneralize, in short taarifa imekaa kiudaku udaku)Mzee Ndesa alilileta hili suala Kichama, rekodi zipo hadi leo, lakini Mbowe akawa anaendelea. Kesi ilifika mahakamani na talaka kutolewa.
(Hii pia imekaa kiudaku udaku mwandishi habari kama hizi ni za kiu, ijumaa, nk) .Mwenyekiti alitia aibu katika ziara tuliyofanya Newala. Grace Kiwelu na Chiku Abwao walipigana usiku saa 7 kwenye nyumba tuliyofikia kwasababu kila mmoja alitaka kulala na Mbowe
(Hili nadhani ni suluhisho linalotolewa na mwandishi ambaye kama kweli yuko chadema na ana hamu na hiyo chadema mpya alipaswa kuliwakilisha kiofisi na ofisi ingepuuza basi alikuwa na haki ya kuwasilisha hoja hii mtandaoni akiwa na nakal ya barua kama ilivyotokea kwa mzee Butiku) .Ugomvi ulikuwa mkubwa baadaye Chiku Abwao akafanikiwa kulala na Mbowe. Msafara ulipofika Nachingwea, Grace akawahi kuingia chumbani kwa Mbowe mapema, kwahiyo Chiku akafukuzwa. Ilikuwa ni fedheha kubwa kwa walioshuhudia. Kwa kifupi, kama tunataka kujenga Chama makini, huyu hatufai kama Mwenyekiti
(Huu pia ni udaku daku maana tarehe, haitajwi, sherehe ilikuwa inahusu nini? viongozi wa chadema kwa nini walialikwa au kuhudhuria haisemwi pia)Tunao viongozi wengi ambao hawana historia ya uchafu wa biashara na uchafu binafsi.
Mwenyekiti alipigana na kiongozi mwenzake wa Chama Kawe kwenye sherehe ya kikundi cha sanaa cha Chama kinachoitwa Malongo Sanaa Group kwasababu Mwenyekiti alimtaka msichana mmoja kwenye kikundi anayeitwa Subira Waziri (au Koku) ambaye ni bibi wa kiongozi huyo.
(Hivi kwenye hii angesema pia amevunja ndoa ya mkurugenzi kahama, bosi wa wizara ya fedha nk how can it be proved. huu ni udaku otherwise they have to be well substantiated)Ugomvi huo ulikuwa mkubwa na Mwenyekiti alichaniwa shati, lakini alimpiga na kumuumiza kiongozi mwenzake. Kesho yake Mwenyekiti akaenda kwa Mzee Makani kuomba radhi na kutoa 300,000 kwa kiongozi mwenzake asiseme na kuchukua hatua.
Mwenyekiti pia amevunja ndoa ya Mwanamrisho Abama wa Zanzibar ambaye bado anaendelea naye mpaka leo. Pia ameingilia ndoa ya Sophia Khatau wa Lindi ambaye mume wake anafanya kazi TTCL. Pia alivuruga ndoa ya Diwani wa Viti Maalum Halmashauri ya Hai anaitwa Helga.
(Hivi upi ulikuwa wakati muafaka, na kama chama chenye serikali kinasubiri muda muafaka kumsema au kumuumbua mbakaji badala ya kumpeleka mahakamani hii ni hatari) .Kuna mengine mengi ambayo hayapaswi kusemwa hadharani lakini wao CCM wanayo (Wao sisiem au nyie sisiem- Hii inahitimisha kwamba si kweli maana hawa jama especially mtandao walivyokuwa mahiri kwa kuchafuana wasingelimwacha mbowe hivi hivi ile 2005, na after all hivi kumbe sisiem ina hako ka kitego ka udaku na kufuatilia maisha binafsi ya watu?) , rekodi zipo hata za ubakaji miaka ya 1980 na 1990 uliokuwa unafanywa na Mbowe na rafiki yake Dudley Mawala enzi hizo na wanangoja wakati muafaka tu
(Mwandishi anathibitisha kwamba yeye ni mwoga na mpika majungu, kwa nini asijitokeze hadharani ndani ya vikao vya cahama kama hizi tuhuma zake ni za kweli?) .Ni lazima sisi wenyewe tuchukue hatua kuwapreempt sasa.
Kwahiyo wanachama wenzetu, baadhi yetu sisi wa matawi ya Mikoa ya Ruvuma, Dar, Kigoma, Manyara, Shinyanga na Arusha tumeamua tuangalie mwelekeo wa mbele zaidi wa Chama chetu
Mnyika na Kabwe wanafanya kazi nzuri sana za kurecruit vijana wenzao wasomi kwenye Chama chetu. Wameanzisha mtandao wa vijana ambao una matumaini ya kutuvunia wanachama na viongozi wasomi makini kwa siku za usoni. Tusiache mtu mmoja atuvurugie hii future nzuri ya Chama chetu iliyo mbele yetu.
Wakati ni huu. Tunaweza kabisa kuwatoa mafisadi madarakani kama tutakuwa makini. MPAKA KIELEWEKE!