Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
Mmeshindwa kumuelewa Mtanzania sasa mmebaki kubeza, ati "hatukutegemea Mtanzania kufanya hivi"!!! Jamaa amewasilisha mawazo yake kwa kuto ridhishwa na uamuzi ulofanyika.......sasa tatizo liwapi?
 
Kumbe chanzo cha email ni Mwamvita Makamba?

WOW! Mwavita Makamba alikuwaga changudoa alipokuwa chuo kikuu na ndio huko alipompata MZUNGU aliyekuja kumuoa!

Someni alivyojibiwa alipotuma ujumbe mara ya kwanza!



KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CHAMA
HA HA HA
Usinune, ni makala tuu
waweza jibu hoja
 
Invisible,
Ukisha weka kitu kwenye Udaku maana yake ni udaku.....na hakihitaji majibu wala kuchukuliwa seriously, hiyo ndio point inayoudhi watu kama Mtanzania kwenye Jamvi hili.
 

alaaaaaaaaa kumbe udaku eh
 
Kumbe chanzo cha email ni Mwamvita Makamba?

Nilijua tu chanzo kitajulikana na hoja itaweza kujadilika. Now we can move on! Si nilikwambia I wont delete this thread? Ndiyo sababu hii
 
ama hii kali!!.....watanzania kwa siasa chafu!! mmmh
 
mbowe jibu tuhuma za ufuska wewe ! wanachama wako tawi la JF wameshindwa kukutetea ! ibuka mwanangu mbowe !
 
yani ndio mnaona saivi kuwa waTZ wana siasa chafu.... mie nshaligundua hilo muda... na kila mtu ana interest zake ila uzuri ni kwamba wapo wasiokuwa na muda mchafu... nyie pigeni domo wenzenu wanafanya productive things
 

FD,
Hapa umemaliza kazi! Kumbe alijiandikia mwenyewe akaanza kusambaza! Kakamatwa kiulaini! Aibu kabisa!
 
ndio hapo ! mbaya zaidi distraction nyingine imeshaletwa ili hii mada isizungumzwe ! huo ugoni wa kikwete wanauona leo ama baada ya kuanzishwa thread ya ugoni wa mbowe ? ama kweli hii ni tit for tat na hapo hatutoendelea !
 

Sure Mtz,
Admin kila wakati anasema hataki kubeba mzigo wa kuondoa vitu hapa.
Anyway, Haya madai yatajifia yenyewe muda si mrefu.
 
jamani vita tuliyonayo ni moja tu: kupambana na wezi na wabadhirifu wa mali ya umma. nani kalala na nani tumuachie khadija kopa.
 
ndio hapo ! mbaya zaidi distraction nyingine imeshaletwa ili hii mada isizungumzwe ! huo ugoni wa kikwete wanauona leo ama baada ya kuanzishwa thread ya ugoni wa mbowe ? ama kweli hii ni tit for tat na hapo hatutoendelea !

Hoja huzaa Hoja
 
prince, hiyo kanuni tungeifuata tungekuwa mbali sana... but ukisema hivyo watakuambia unatetea na kulinda ufuska...
 
FD,
Hapa umemaliza kazi! Kumbe alijiandikia mwenyewe akaanza kusambaza! Kakamatwa kiulaini! Aibu kabisa!

Yeah alipewa data, inawezekana kumbuka January yupo jikoni, kosa akaisambaza watu wakaingia kazini wakapata IP address na traces kibao. Kosa hakuwa makini....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…