Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
Tutawakimbiza sana mwaka huuu. Wakipika sisi tunamwaga. Wakimwaga Ugali sisi tunamwaga Mboga!
 
ndio hapo sasa ! mboga zitamwagwa pande zote mbili kwa watawala na wapinzani ! hapendwi mtu !

1-800-MBOWE-NIGHT-KALI !!
 
Mimi nilidhani kuna issue kubwa kumbe ni haya ? Mbona haya yaliusha sema na wana JF mmoja siku za nyuma .Anyway Mbowe kama anapata huu ujumbe ajibu mwenyewe .Mimi nitamtafuta na kumpa ila najua kesha pata maana si mvivu wa kusomana kuandika.Lakini hawa wana Chadema si waende kwenye Public Domain na kuweka kwenye magazeti ? Spinning zingine bwana .
 

Lunyungu,

Kuna memba hapo juu amesema kuwa hii email imetoka kwa mtoto wa Makamba. Huwa sipendi kuanika id za watu hapa lakini unaweza kudhibitisha mwenyewe kama hiyo ni kweli. Naona Mbowe inabidi waongee na Makamba kuhusu hilo pia!
 

BAAB KUBWA !! m-zecodemy Mbowe bana ! yaani mtafute kutumia ile ze comedy style, mkimbize kwenye gari asiposimama ita polisi !
 
ooh, member wa kawaida anaweza kujua ID au ni admn peke yake ? are we safe ? just curious !
 
ukishalog in hapa au kwenye mtandao wowote, mtu yeyote mwenye utaalamu anaweza kujua location yako na kama unatumia computer yako binafsi anaweza kujua hata id yako.
 
Nilijua tu chanzo kitajulikana na hoja itaweza kujadilika. Now we can move on! Si nilikwambia I wont delete this thread? Ndiyo sababu hii


utoto kweli yaani! wanafikiri bado tupo enzi zileee! Tumeshatoka huko, huwezi ku-survive kwa ghiliba na ujanjaujanja katika ulimwengu wa leo.It is about competence, no more, no less.
 
mbowe uko wapi babu kuja kujibu haya maswali, najua ulikuwa memba hapa !!
 
mbaya jamaa anaweza akasema CCM wanamkimbiza, lakini akishusha vioo anamuona Mzee Lunyungu ! gademu !
 
Kama chanzo kimeonekana kuwa ni binti wa Makamba kwa nini hii bado iko hapa? Jamani hii ni chini ya JF, hamisheni huu uchafu na mambo binafsi na kizushi kama haya yakome!

 
kama mtaangalia jamaa wanatuvutia kule kwenye picha kusema wataweka after every one hour ili hapa watu wapuuzie, jamani kumbukeni kuna kiporo hapa !

Lazima tukimalize,
ZEGE HALILALI !!
 
kama mtaangalia jamaa wanatuvutia kule kwenye picha kusema wataweka after every one hour ili hapa watu wapuuzie, jamani kumbukeni kuna kiporo hapa !

Lazima tukimalize,
ZEGE HALILALI !!

Kumbe wewe kwisha jua janja yao eeeeeenh, very smart!!
 
ahhh, it doesnt take a smart person to know their dummy tricks !! ishu zinakatwa hapa hapa sasa !!

bora niwaambieni mapema anytime nitapost katuni (sio real picture kama WENYEWE walivyopromise) na hiyo katuni itaonekana "sio michosho" !!
 
Hivi huu udaku na Majira wamediriki kuuchukua na kuandika kama vile ni habari yenye mwelekeo ? Ama kweli waongo mna matatizo makubwa . Endeleeni ku spin
 
kwenye pita pita yangu, nimeona wapishi washapika hii kitu jikoni !!


Freeman Aikaeli Mbowe (born 14 September 1961) is a Tanzanian politician and chairman of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Party for Democracy and Development). Mbowe is a member of the Chaga ethnic group.


Mbowe CampaigningMbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.

In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated as CHADEMA's presidential candidate. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.


Mbowe and Komu CampaigningMbowe criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his party cannot afford to finance extra campaigning. Chadema eventually settled on Anna Komu to be the running mate.

He placed third out of ten candidates in the 14 December 2005 presidential election, winning 5.88% of the vote.

Mbowe is the owner of Club Bilicanas, one of the best nightclubs in Dar es Salaam. He is also the owner of Tanzania Daima, a national daily newspaper, as well as Protea Hotel Aishi Machame, a hotel in his native town of Machame, in Kilimanjaro region, Tanzania.

Mbowe is married to Lillian Mtei (daughter of Edwin Mtei, the first Governor of Bank of Tanzania). They were married on 17 August 1991. The two live happily with their children in Mikocheni A, a suburb of Dar es Salaam, Tanzania. Mbowe has three children: Dudley A. Mbowe (15), Nicole A. Mbowe (10) and Dennis E. Mbowe (7). All their children go the Dar es Salaam Independent School (D.I.S.), also in Mikocheni. Dudley also attended Haven of Peace Academy (HOPAC) in Kunduchi from Kindergarten until Grade 6.

HONGERA MHESHIMIWA MBOWE !!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…