Mugo"The Great"
JF-Expert Member
- Oct 7, 2007
- 262
- 26
"CCM wanasafisha Chama chao na sisi tusafishe chetu, tusibweteke na umaarufu binafsi wa baadhi ya viongozi wetu''.
''Mwenyekiti ana historia chafu ya ufuska na uasherati . Hili ni tatizo kwa maadili lakini ni tatizo zaidi kwa Mwenyekiti Mbowe kwasababu analeta hizi tabia kwenye kazi na kuleta mifarakano''.
Apite hapa ili apate nini cha maana? Mwacheni mzee wa watu atutwangie issue za maana sio hizi za "kubumba"Mzee Mtei hapa umepita?
5. u-DJ
Wote wawili wamekuwa ma-DJ. Mmoja wa Night club, mwingine redioni.
Kwa hiyo hapa ngoma draw, isipokuwa tu u-DJ wa Mbowe utakuwa umeleta Maambukizi zaidi ya ukimwi kuliko ule wa redioni.
.
....wow, now thats something. Assuming this was posted awhile back, current happenings suffice to contradict. Whilst Amatus is already incacerated and Chifupa (+) RIP is gone to the other side, victims in the third angle of the triangle remain sick to the bone. Any names?
1.
2.
3.
ad infinitum