Mbowe: wanaokusudia kuandamana wana hasira na wataandamana. Namna ambavyo wanajiandaa wao kutuua na sisi huenda tunajiandaa kufa

MWONGO huyu aseme watakaoandamana wajiandae kufa.
Mwongo mkubwa.
 
Awamu hii lazima tuandamane na wakituua wajiandae kupelekwa ICC na kunyongwa.
 
Aliufyata Mbowe
Mwenzie yuko hai. Mtishaji akafa kifo cha kijnga na cha kikondoo kabisa utafikiri hakuwa Rais wa nchi...

Nakuuliza tena kati ya Freema Mbowe na Magufuli, nani aliufyata...?

Bila shaka ni yule aliyejifanya mbabe lakini akafa kijinga....

Mwingine wa kwenda kuzika si muda mrefu ni Samia Suluhu Hassan.....!!
 
Lakini kufa wote tutakufa ila mbowe aliufyata mbele ya mwamba jiwe kafa yesu sembuse jiwe?
 
Baadae utasikia maandamano yamefanikiwa.. Polisi wameandamana kwa niaba yetu..
 
Bila kuchukua hatua serious, majambazi na magaidi ya kidola yataendelea kumwaga damu za ndugu zetu...

Rais Samia Suluhu Hassan ameshindwa kazi. Asaidiwe kwa kumwondoa tu ili akalee wajukuu na aiche nchi yetu ya Tanganyika salama...
 
Nimeshangaa sana eti mbowe ni mwenyekiti wa kituo cha demokrasia 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…