Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam.
Ni kawaida katka nchi yoyote ile duniani kuwa na majasusi wa kufanikisha mikakati na malengo ya nchi husika. Halikadhalika katika vyama vya siasa vyenye malengo ya kushika dola kuna majasusi kuhakikisha malengo yanatimia.
Inasikitisha kwa miaka 20 mh mbowe amekua jasusi wa ccm ndani ya chadema hivyo kukwamisha na kuvujisha mipango yote ya kuiondoa ccm madarakani.
Wanachadema wamekuja kustuka tayari wameshapoteza wanachama wengi kwa kuuwawa na wengine wamepotezwa haijulikani wako hai au ni marehemu.
Kwa usaliti huu wa mbowe ndio sababu mpaka leo:-
1. Hakuna uchunguzi juu ya kupotea bernsanane.
2. Hakuna uchunguzi kushambuliwa mh lissu.
3. Hakuna uchunguzi kuuwawa kwa mzee kibao.
4. Uwepo wa wabunge covid 19 n.k
Kwa usaliti huo ni vema bwana mbowe atoke hadharani awaombe radhi wana chadema aliwakosea pakubwa, kawaumiza wanachadema.