johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
"Nchini Zanzibar" sasa naona Munaikuza sana ili Tanganyika nayo ifufuke. kitu ambacho huko chamani kwemu wenzako hawataki...Mwenyekiti wa Chadema amesema Chadema haioni faida ya Demokrasia
Wapigakura wanachagua Viongozi wanaowataka lakini mifumo inaamua vinginevyo kwahiyo Viongozi hawana KIBALI cha Mungu Katika kutawala, amesema Mbowe
Nilipotoka Jela kwa kesi ya Ugaidi nilikutana na Rais Samia na akaniambia kama Taifa tuna Tatizo la Kutokuaminiana na tukakubaliana tumalize tofauti zetu Ili tutoke huko, amesisitiza mh Mbowe
Mbowe amesema hayo nchini Zanzibar Kwenye Mkutano wa TCD
Source: Mwanahalisi
...'Nchini Zanzibar'... How?Mwenyekiti wa Chadema amesema Chadema haioni faida ya Demokrasia
Wapigakura wanachagua Viongozi wanaowataka lakini mifumo inaamua vinginevyo kwahiyo Viongozi hawana KIBALI cha Mungu Katika kutawala, amesema Mbowe
Nilipotoka Jela kwa kesi ya Ugaidi nilikutana na Rais Samia na akaniambia kama Taifa tuna Tatizo la Kutokuaminiana na tukakubaliana tumalize tofauti zetu Ili tutoke huko, amesisitiza mh Mbowe
Mbowe amesema hayo nchini Zanzibar Kwenye Mkutano wa TCD
Source: Mwanahalisi
Zanzibar ni nchi....'Nchini Zanzibar'... How?
Ndiyo nchi jirani ya ZanzibarNchini zanzibar tena?
Muulize Mbowe anayedai kuna Wazanzibar...'Nchini Zanzibar'... How?
Hivi, ulishawahi kufikiri kwa kutumia akili yako mwenyewe? Au wewe ni moja wa wanywa maji ya bendera ya ccm? Maana ya muungano ni nini?Muulize Mbowe anayedai kuna Wazanzibar
Kwani wewe uko kinyume na Samia kujiita Mzanzibari?Muulize Mbowe anayedai kuna Wazanzibar