Wakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili.
Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia. Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida.