Ila gaidi aachiwe?Jambazi anaachiwaje kwa mfano?
Wapi Mbowe amehukumiwa kuwa ni gaidi? Amefungwa miaka mingapi?Ila gaidi aachiwe?
"Ole wake" Sabaya yeye kahukumiwa na mahakama kwa kakutwa na makosa, Mbowe hajahukumiwa hivyo hao ni watu wawili tofauti kimahakama/kisheria, mmoja alikuwa mtuhumiwa na Mwingine ni mwenye hatia.wakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili
Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Kwani Sabaya nae anakesi ya ugaidi ya mchongo?wakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili
Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Akitolewa tutapiga yowe nchi nzima majambazi wote waliofungwa miaka 30 na wao wasamehewe.Sabaya soon anatoka mark my words.
Sabaya ni jambazi na mahakama ilithibitisha. Mbowe alisingiziwa na ushahidi umeonyesha,waliofungua kesi wameona wanajihangaisha.wakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili...
Ni laana gani inamtesa?Sabaya yupo sehemu salama sana kwa aliyoyatenda akirudi uraiani bila cheo atachomwa moto na raia wenye hasira fikiria alivyo watesa na kuwanyanganya fedha zao akishirikiana na Meya wa Moshi Rahibu ona sasa Meya laana inavyo mtesa
Kalaga bahooNi Laana gani inamtesa??
Gaidi amaeachiwajeJambazi anaachiwaje kwa mfano?
Kulawiti kuwashindilia raia misumari inchi 6 miguuni hizi Kesi zinamsubiriNi Laana gani inamtesa??
,Ila gaidi aachiwe?
Sabaya kakutwa na hatiawakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili
Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Sabaya soon anatoka mark my words.
wakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili
Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
We ni boya kweli! Mtu mwenye guts za kukupigilia msumali wa inchi 6 unatamani arudishwe mtaani ili iweje!wakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili...
Alivyotolewa Babu Seya mbona hukupiga mayowe?Akitolewa tutapiga yowe nchi nzima majambazi wote waliofungwa miaka 30 na wao wasamehewe.