Mbowe yuko sahihi na Wanaotaka Kumpindua wako' sahihi vilevile haiwezekani Dunia ya Leo mwenyekiti adumu miaka 25(Robo Karne) madarakani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbowe yuko sahihi Kwa sababu yuko madarakani Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema wala hajatumia nguvu kubaki madarakani.

Kama 90% ya wanachadema ni mbumbumbu wasioweza kujiongoza ni Sahihi kabisa Mbowe akaendelea kuwaongoza hadi atakapokufa

Lakini wanaotaka Kumpindua hata kama ni wanachadema Wawili watatu tu Hawa wako sahihi zaidi Kwa sababu Dunia tunayoishi Leo hailei Upumbavu na Wapumbavu

Mugabe alipotaka kulazimishwa kudumu madarakani alipinduliwa " kimtindo"

Mbowe wewe ni Mwamba usiogope Mapinduzi 🐼
 
Mzee Mbowe safari hii amekanyaga moto wa kifuu cha nazi ,huko nyuma alikuwa anatimua waliokuwa wananyemelea nafasi yake ,safari ni lazima atulie tu.KUDADEKI
 
Wasiachiane vinywaji tu 🐼😂
 
Waswahili husema, Muosha huoshwa. Sasa ni zamu ya mjinga Mbowe kukaa benchi

Back
Top Bottom