Mbowe yuko wapi mbona Rufaa za wabunge Halima Mdee hazisikilizwi na wanachama hawaelezwi sababu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Haki inayocheleweshwa ni haki inayominywa hivyo ni vema uongozi wa juu wa Chadema ukawatendea hski wabunge wake kwa kusikiliza rufaa zao mapema.

Kwa sasa haijulikani mwenyekiti wa Chadema taifa yuko wapi na yeye ndio mwenyekiti wa kikao cha Baraza kuu kitakachosikiliza rufaa za wabunge hao.

Inajulikana kuwa makamu mwenyekiti anaishi Ubelgiji siyo Tanzania.

Maendeleo hayana vyama!
 
Zile za ndani ya mtaa kijani zilishasikizwa na mbona mrejesho haujatolewa.
 
Mbowe Hesabu zake ni Sawa na mtu kuwa na bajeti ya miaka minne ijayo!!
 
 
Mbowe wa nini wewe chapeni kazi wapinzani walituchelewesha sana...

Tanzania saa hizi kama Ulaya...


Miradi ya maendeleo ! Watoto madawati wanakalia hadi yanabaki...
 
Ebu tuambie Mwenyekiti wetu wa CCM na rais wetu yupo wapi?
Maana angesikika la shauri lako hilu lingejulikana na kumalizwa.
Kenge wee.
 
Mmemfanyia figisu mashamba yake na ubunge ,yupo UAE anatengeneza pesa kwenye biashara zake nyingine.
 
Uzi wa kimasikini sana ! hatutarejea kufafanua huu ujinga wenu wa kila mara
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni vyema baraza kuu litakapoketi lijiridhishe kama kamati kuu kabla ya kuwaadhibu hao mnaowaita covid 19 ilizingatia kanuni ya utafiti wa kisayansi kama anavyotuelimisha Mama Amon ie, kanuni ya zile k6. Kuona, kuhoji, kutuhumu, Kutafiti, kuhukumu na kutenda.

Kama hayo hayakuzingatiwa, adhabu waliyopewa ni batili (kwa mijibu wa Mama Amon ).

Siasa ni sayansi.
 
Jiulize mwaka 2025 hao wamama 19 watagombea ubunge wapi na kwa ticket ya chama gani?
 
Haki gani imecheleweshwa? hawaigii bungeni au hawalipwi posho zao na mishahara?
 
mbowe yuko dubai mpaka mda huu, toka ruzuku imeingia alihamia dubai
 
Kwani ile ya Membe kufukuzwa CCM bila kufuata utaratibu ilishasikilizwa? FIFO...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…