Mbowe yuko wapi mbona Rufaa za wabunge Halima Mdee hazisikilizwi na wanachama hawaelezwi sababu?

Haikuhusu. Kwani unaowatetea wamefukuzwa bungeni?
 
Unataka wapate haki ipi? Kama ni ubunge si walishapewa na spika na wanaendelea nao? Sasa watakosa haki ipi?
 
Siasa ni mchezo mchafu sana. Huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu kwenye siasa. Hii issue ya hawa 19 ilishakwisha kitambo sana.

Kila mwanachama sasa anapaswa kuendelea na maisha yake tu huku akiendelea kukipenda na kukichangia chama. Si kila siku tunasema kwamba CHAMA ni "imani" na kipo "mioyoni mwa mwatu"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…