Ndugai ni miongoni mwa wabunge waliopewa nafasi na hawana uwezo na viatu walivyopewa. Tangu alipo toa maelezo ya kufuta kambi rasmi ya upinzani nilikosa imani nae. Ni aina ya kilaza kwenye kufanya maamuzi.