Hiyo ndiyo elimu ya CCM tunayopewa kwa sasa!!Mbatia anataka kutatua tatizo hili,mibunge ya CCM kazi yao ni kupinga hata vitu ambavyo vipo wazi na kwa faida ya wananchi.Source TBC1 saa 4 leo
Hiyo ndiyo elimu ya CCM tunayopewa kwa sasa!!Mbatia anataka kutatua tatizo hili,mibunge ya CCM kazi yao ni kupinga hata vitu ambavyo vipo wazi na kwa faida ya wananchi.Source TBC1 saa 4 leo
Mkuu wa wilaya Mbozi; watoto 70% waliyochaguliwa kuingia kidato cha kwanza na watoto 28,000 waliyopo sekondari wilaya hiyo hawajui kusoma na kuandika:
Hii ni taarifa ya habari ya saa 4 asubuhi leo -TBC, hili tatizo liko Tanzania nzima kila wilaya ina wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wasiyojua kusoma na kuandika! hii serikali hafai hafai na haistahili tena kuongoza nchi yetu, huu ni mkakati mahsusi wa kufanya watotot wa maskini wasipate elimu kwani wakipata elimu watatambua haki zao.......kwa namna hii hakuna taifa hapa huwezi kuwa na taifa ambalo halina elimu ukasema una taifa, na hili limejidhihirisha wazi baada ya Mh. Mbatia kuleta hoja ya kuundwa tume ya kuangalia udhaifu wa elimu tanzania ikakataliwa na spika wa bunge pamoja na wabunge wa maccm........kukataa jambo ambalo lina maslahi ya taifa ni kwamba kuna agenda ya siri imefichwa na wanaokataa, Mh. lowasa alisema hoja ya mbatia ni ya msingi na akaenda mbali zaid akaongeza kanunu za bunge zinaweza kuvunjwa ili kuruhusu hoja au jambo muhimu lenye maslahi ya taifa yafanyike, hatuwezi kuendelea kunyayaswa kwa makusudi na hii serikali tena, sisi wananchi tutatumia maombi, nguvu na akili zetu zote kuondoa hii serikali madarakani hata ikibidi baadhi yetu kupoteza uhai kwa ajili ya ukombozi wa wengi tutafanya hivyo. ee Mungu Mwenyezi tusaidie tulikomboe taifa hili. AMEN