Mbu wanampenda binadamu mwenye kundi la damu 'O'

blood group yangu ni AB, kundi ambalo mtu yeyote ntakae muona barabarani naweza kumchukua ili aniongezee damu endapo ntakungukiwa, kwa kifupi ni kwamba napokea damu toka kwa mtu yeyote isipokua natoa damu kwa AB mwenzangu tu,,,!
KAMA WEWE NI GROUP HILI NAOMBA UGONGE LIKE HAPA.
 
View attachment 335088

KARIBU WA-TANZANIA WOTE WANAPENDWA NA MDUDU MBUU

UTAWEZA KUKUBALIANA NA USEMI WANGU HUO?

Kweli naweza kuamini Mimi Ni blood group O+ nikikaa mahali na watu huwa Mimi wa kwanza kudungwa na mbu na naweza kudungwa peke yangu wenzangu sometimes wala hawajui Kama mahali hapo kuna mbu me naamini sasa Ni kweli mbu wanapenda watu wenye group hii ya damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…