don12 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 678 Reaction score 202 Jul 18, 2013 #1 Natafuta Suzuki swift four wheel drive, nyekundu au nyeusi, naombeni msaada pia wa kiufundi ya upatikanaji wa spea zake na fuel consumption ,natanguliza shukrani
Natafuta Suzuki swift four wheel drive, nyekundu au nyeusi, naombeni msaada pia wa kiufundi ya upatikanaji wa spea zake na fuel consumption ,natanguliza shukrani