Mbuga ya wanyama saadan,embu nisaidieni wana jf.

Kyalow

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,548
Reaction score
2,580
Aman kwenu wana jf popote na muda mlipo,kuna kitu kina nitatizo.katika mbuga ya wanyama ya saadani naskia kuna kijiji kmezungukwa na ile mbuga,watu wanaishi mle na kufanya shughuli zao bila bugudha ingawa kuna simba chui na wanyama wengine hatari kwa binadamu...cha ajabu watu wa kule wanadai sio simba,chui wala wanyama wengine wanao wabugudhi,sasa kwa anaye fahamu sababu naomba anijuze
 
Peleka jukwaa la hoja mchanganyiko hukooooooo MMU wapi na wapi????
 
Au una maanisha simba wepi? na mbuga zipi?
 
Au ndio mafumbo kama ile ya milio ya gari? fafanua mkuu
 
kaulize watalii.kwanza hapa cyo mahala pake alaa!!
 
Aman kwenu wana jf popote na muda mlipo,kuna kitu kina nitatizo.katika mbuga ya wanyama ya saadani naskia kuna kijiji kmezungukwa na ile mbuga,watu wanaishi mle na kufanya shughuli zao bila bugudha ingawa kuna simba chui na wanyama wengine hatari kwa binadamu...cha ajabu watu wa kule wanadai sio simba,chui wala wanyama wengine wanao wabugudhi,sasa kwa anaye fahamu sababu naomba anijuze

gonga hapa The official site of the Tanzania National Parks - Proposed Saadani National Park
 
Na maanisha mbuga kweli,so nahisi nmekosea chumba
 
Back
Top Bottom