Au una maanisha simba wepi? na mbuga zipi?
Aman kwenu wana jf popote na muda mlipo,kuna kitu kina nitatizo.katika mbuga ya wanyama ya saadani naskia kuna kijiji kmezungukwa na ile mbuga,watu wanaishi mle na kufanya shughuli zao bila bugudha ingawa kuna simba chui na wanyama wengine hatari kwa binadamu...cha ajabu watu wa kule wanadai sio simba,chui wala wanyama wengine wanao wabugudhi,sasa kwa anaye fahamu sababu naomba anijuze
Hapa hakuna fumbo kakosea chumba.Au ndio mafumbo kama ile ya milio ya gari? fafanua mkuu
Hapa hakuna fumbo kakosea chumba.
Na maanisha mbuga kweli,so nahisi nmekosea chumba