Mbuga za Tanzania ndani ya UAE

Sisi tunalia hatuna fursa wenye akili kubwa wanatumia fursa zetu kupiga hela wa tz tunalialia serikali haifanyi chochote jee wewe mtanzania wa kawaida umefanya nn
Wewe mzima kweli kwa sera hizi na sheria hizi kila mtanganyika akitaka kutumia fursa serikali huoni inamgonga na nyundo ?
 
Je wanyama kama simba wanaruhusiwa kuwinda katika mbuga ya sharjah ? AU WANALISHWA?

WANATUMIA MAJI gani kurutubsha miche na miti
 
It hauna Ile terrain au rain forest au Ile savanna kama iliyopo Africa...

Kwenye hako ka zoo Ile taste bado kabisa, Ile misele, patashika zile adventure bado kabisa...
Pesa Ni kila kitu watanunua hata matope Africa wayaweke kule ili mkwame mpate taste ya ngorongoro
 
UAE jamaa ni big minds, usishangae kwenye hizo mbuga zao zikabeba watalii wengi kuliko hizi zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…