Mbunge Abbas Tarimba apendekeza wabunge wapewe 'plate number' maalumu ili magari yao yatambulike barabarani

ingependeza hizo plate number wapewe madaktari ili wawahi kufika mahospitali kuokoa maisha ya wagonjwa. Kwa wabunge wanazitaka just for prestigious purpose tu
 
Si tayari kuna utaratibu wa kulipia unapewa plate namba utakayoandoka inachotakaj
 
Anastahili kuitwa ponjoro. Kaongea mavi matupu. Wabunge wa Magufuli hawa. Hapo bado hajaongea Babutale na Shigongo.
 
Ebwana ee hii nayo imepita ipo Kwa Hansard .jamaa anataka first class ata akiwa barabarani kwamba makapuku tumuache yeye apite Kwanza Sisi tutulie tu
 
Ponjoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…