Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
Ana hoja kabisa,niliwahi fanya kazi na jamaa wa chuo kikuu kampuni flani, mpaka nilikuwa namhurumia sana Ilikuwa issue ya kufunga hesabu za mauzo, duuh!Jamaa ni upper second Matokeo chuoni Tena UDSM.Mpaka anitafute nimsaidie kufunga!"Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina kiwango gani,. La tatu relevance na katika ulimwengu huu tuliokuwa nao elimu ile inatusaidia vipi? Sasa kwa hakika access ya kuhakikisha wanafunzi wetu wanakwenda mashuleni tumefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana, swala limebakia hapa quality na kwenye relevance" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhonda
“Kwenye quality ulimwengu wa sasa mheshimiwa Mwenyekiti elimu ya chuo kikuu haina umuhimu mkubwa sana kwenye ajira makampuni yote makubwa unayoyajua ulimwenguni wala hawatazami kama umekwenda chuo kikuu wewe kama una Degree, Masters, PHD alie maliza form six anaweza akapata kazi kabla yako. Kwa maana hiyo kitu cha muhimu ni skills na skills tunazipata wapi? Mheshimiwa mweyekiti kwenye ulimwengu huu wa sasahivi ma universities makubwa unayoyajua wanatoa kozi kupitia internet na tena ni bure kabisa" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhond
Mkuu Tanzakiza Kuna wapumbavu wengi sana,mmoja wapo huyo MB,sijui huo upumbavu ameutoa wapi mfano Google itoe ajira kwa kilaza ?Naona machizi wanadhidi kuwa wengi.
Issue sio umuhimu wa elimu ya degree bali issue ni ubora wa elimu ya degree inayotolewa.
Hivi anafikiri calculation za kudesign magari, mameli, mandege, madrill rigs, makombora, masubmarines, majet fighters, power plants, electric train, nk huwa vinafanywa na lasaba b?
Mnhh!! Nafikiri angesema vyuo vya kati..ila form six unasomea profession gani!?"Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina kiwango gani,. La tatu relevance na katika ulimwengu huu tuliokuwa nao elimu ile inatusaidia vipi?
Sasa kwa hakika access ya kuhakikisha wanafunzi wetu wanakwenda mashuleni tumefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana, swala limebakia hapa quality na kwenye relevance" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhonda
“Kwenye quality ulimwengu wa sasa mheshimiwa Mwenyekiti elimu ya chuo kikuu haina umuhimu mkubwa sana kwenye ajira makampuni yote makubwa unayoyajua ulimwenguni wala hawatazami kama umekwenda chuo kikuu wewe kama una Degree, Masters, PHD alie maliza form six anaweza akapata kazi kabla yako.
Soma Pia: Sensa ya kwenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikifanyika. Results zitabadili mtazamo wa wazazi kulipa ada mamilioni
Kwa maana hiyo kitu cha muhimu ni skills na skills tunazipata wapi? Mheshimiwa mweyekiti kwenye ulimwengu huu wa sasahivi ma universities makubwa unayoyajua wanatoa kozi kupitia internet na tena ni bure kabisa" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhond
Professor nani mtanzania ameunda hayo?Naona machizi wanadhidi kuwa wengi.
Issue sio umuhimu wa elimu ya degree bali issue ni ubora wa elimu ya degree inayotolewa.
Hivi anafikiri calculation za kudesign magari, mameli, mandege, madrill rigs, makombora, masubmarines, majet fighters, power plants, electric train, nk huwa vinafanywa na lasaba b?