Pre GE2025 Mbunge Aesh Hilaly aahidi kutoa mabeseni 100 kwa kila Kituo cha Afya Sumbawanga Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ameahidi kukabidhi mabeseni Mia Moja (100) kwa kila kituo cha Afya kilichopo katika Jimbo la Sumbawanga Mjini.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mabeseni hayo yatasaidia Akina Mama Wajawazito wanaotarajia kujifungua siku za usoni ikiwa ni msaada wake kwa akina Mama katika wiki ya Wanawake duniani.

Your browser is not able to display this video.
 
Wakati wa kujifaragua umetimia sasa ni kutoa tuuu.
 
Hajatokea mtu mwenye ujasiri akamnasa kibao?!?
 
Hadaa za kuelekea uchaguzi.
 
Huku CHADEMA walishinda Uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…