Pre GE2025 Mbunge Aeshi Hilaly apongeza Chama cha Wafanyakazi kwa msaada kwa Vituo vya Afya Sumbawanga

Pre GE2025 Mbunge Aeshi Hilaly apongeza Chama cha Wafanyakazi kwa msaada kwa Vituo vya Afya Sumbawanga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ametoa pongezi kwa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya kutoa msaada katika Kituo cha Afya Mazwi na Zahanati ya Kizwite.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aesh amesema jambo lililofanywa na jumuiya hiyo ni ibada tosha hususani ikiwa limefanyika katika kipindi cha mfungo wa Ramadhan na Kwaresma.

 
Back
Top Bottom