Mbunge agawa pesa

Kamongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2009
Posts
2,190
Reaction score
2,485
Mimi ni mfanya biashara nilikuwa nataka kufungua duka la jumla kibaha,wenyeji wangu wakanieleza kuna kabila la wangweno,hawataki mtu mwingine kufanya biashara kama sio mgweno watakuloga,kwa utafiti wangu wanaogopeka sana kibaha,je tutafika kama watu bado wanaimani za kichawi kwa kiwango hiki
 
Sasa huu tukiuliza ni uchizi au ni ulevi, tutakuwa tumefanya makosa?

Naomba usipige beer kabla ya kuanzisha thread mpya.

Hicho kichwa cha habari kinahusiana nini na hiyo stori ya wangweno?
 
Sasa huu tukiuliza ni uchizi au ni ulevi, tutakuwa tumefanya makosa?

Naomba usipige beer kabla ya kuanzisha thread mpya.

Hicho kichwa cha habari kinahusiana nini na hiyo stori ya wangweno?
Nilidhani sitasema hivi kamwe, lakini hapa umesema kweli
 
mmmmh una fahamu zako lakini au ndo konyagi zishachukua nafasi yake?
 
Sio kama nimelewa najitahidi kuedit heading inarudi hiyo hiyo,msaada
 
sio kama nimelewa najitahidi kuedit heading inarudi hiyo hiyo,msaada

bonyeza go advanced ipo chini ya unapoandika lakini tupe na hii issue ya mbunge KAMA BADO UNA SWALI NIAMBIE TAKUSAIDIA
 
Hahahahah! ahsante kwa kurudi na kuonyesha tatizo. Rekebisha tuendelee maana nimekimbilia fasta hiyo heading nilichokikuta hadi nguvu sina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…