Mbunge Aida Khenan apendekeza SGR kuwekwa matangazo mengine na si royal tour pekee

Mbunge Aida Khenan apendekeza SGR kuwekwa matangazo mengine na si royal tour pekee

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenan ameishauri serikali pamoja na uwekezaji ilioufanya kutakiwa kufanya maboresho katika utoaji wa huduma ndani ya Treni ya Mwendokasi (SGR) kwa kutumia treni hiyo kupata fedha kupitia kutangaza matangazo ya biashara.

Khenani ameshauri Serikali kuboresha miundombinu ya Treni ya mizigo sambamba na kufunga kamera zitakazowezesha kudhibiti hujuma zinazoendelea katika mradi huo.

Ushauri huo ametoa leo Februari 10, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Ymma (PIC) na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti.

 
Back
Top Bottom